DIAMOND ADHIHIRISHA UKALI WAKE MBELE YA MAELFU YA MASHABIKI MKOANI GEITA
| WASAFIIIIII.... |
| Safari ilianzia hotelini kuelekea Ukumbini..... |
| Hali ilikuwa hivi kabla ya Mimi kupanda Jukwani.....!! |
| Pole Pole...Nilianza kukinukisha na Askari wangu.... kwenye Stage....!! |
| Mapedeshe wa Geita nao awakuwa Nyuma......!! |
| Mafia Mnyama...On the one N two...!! |
| one of my favourite picture kwenye show hii... |
| Eti Nani Amenuna.....? Nani Amenuna?? |
| this wan called "Afe kipa afe beki lakini ushindi Lazima!!!" |
| Wotee....woteee..... Nimpende Nani...? Nimpemndee? Geita...Nauliza....?? |
| Aaaah kulewa...Kulewa....!! |
| dah! hakika palikua hata pakueka mguu hakuna... yani kadri muda ulivyozidi ndio ukumbi ulizidi kuwa mdogo jinsi watu walivyojaa |
| Put your F**k***n Hands on the AIR......!! |
| duh! si ilikuwa kidogo tu zichapwe baada ya raia kuona wanakosa huondo pindi wakitaka kupanda stage na Security wanawazuia... |
| Aaaghaa.... |
| Kwa Michezo wa Kuringa Ringa ndio huwa wanadata.....Badilika usiwe mjinga...?? malizia wewe sasa.....!! |
| Aghaaaa Kidogo.......!! |
| Dumy & Emma....!! |
| Baada ya Show Vijana walidondoka Club pembeni ya hotel na kujirusha kiaina...! |
| Dumy Utamu & Mafia Mnyama....!! |
Post a Comment