Header Ads

HII NDIO LAMBOGHIN YA KWANZA TANZANIA





Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia hapa bongo. Gari hii inamilikiwa na alikuwa makamu wa zamani wa Yanga Davis Mosha. Gari ya hii ina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja na aliinunua kwa Yusuph Bakhresa.source:kishymba

No comments