Sunday, April 28, 2013 TCRA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA KUTOKA KUTUMIA ANALOGI NA KUAHAMIA DIGITAL KWA WAKAZI WA MBEYA NA VITONGIJI VYAKE MITAMBO YA ANALOGI KWA MKOA WA MBEYA INAZIMWA 30 APRILI
| WAKAZI WA NZOVWE WAKIPATA ELIMU YA KUTOKA ANALOGIA KWENDA DIGITALI |
| MOJA YA WATUMISHI WA TCRA AKIGAWA VIPEPERUSHI KWA WAKAZI WA NZOVWE |
| BURUDANI MBALI MBALI ZILIKUWEPO KATIKA KIWANJA CHA NZOVWE |
| MOJA YA WATAALAMU TOKA TCRA ASAJILE AKITOA ELIMU KWA WAKAZI WA MBEYA KUHUSU MFUMO WA ANALOGIA NA DIGITAL NA UMUHIMU WA KUTUMIA VIFAA VYA DIGITAL |
| MAMIA YA WAKAZI WA NZOVWE WALIJITOKEZA KUPATA ELIMU HIYO YA MFUMO WA KUTOKA KUTUMIA ANALOGIA KWENDA DIGITAL |
| WATOTO WA KIZAZI CHA DIGITAL WAKIFURAHIA MUZIKI ULIOKUWA UKIPIGWA KATIKA KIWANJA CHA NZOVWE |
| PIA WATOTO WALIPATA KUFAHAMU MFUMO WA ANALOGIA NA DIGITAL |
| MOJA YA WANANCHI WAKIULIZA MASWALI KWA WATAALAMU WA TCRA |
Post a Comment