(BREAKING NEWS)BOMU LALIPUKA KANISANI KUNDUCHI BEACH
Habari zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa ,Bomu limelipuka katika kanisa la kiinjili la kiutheri (K.K.T) La kunduchi beach Dar es salaam.Taarifa hizi bado zinaendelea kufuatiliwa na jeshi la polisi ili kupata uwakika zaidi.
Post a Comment