GODBLESS LEMA ASAKWA NA POLISI WA LONDON KWA KOSA LA KUMBAKA FLORA BAHATI LYMO
Taarifa hiyo ilinukuliwa katika
gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa
iliyozua utata mkubwa.
Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya
hapa
<<
Mrembo adai kubakwa na mbunge>>
Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo
ameamua kufunguka mchana huu na kudai kuwa mbunge huyo ni GODBLESS
LEMA.....
Ifuatayo ni kauli yake aliyoitoa
katika blog yake..
"GODBLESS LEMA
MBUNGE WA CHADEMA ARUSHA 'WANTED IN
UK FOR SEX*AL ASSAULT(UBAKAJI) BY POLICE IN UK -LONDON" ....
FLORA LYIMO WISH
FOR HER BIRTHDAY MWAKA HUU 2013 IS JUSTICE "TUKIO HILI LILIFANYIKA
ALIPOKUJA LONDON KUFUNGUA TAWI LA CHADEMA LONDON 2012'...
LEMA BAADA YA
TUKIO ALIKIMBIA LONDON NA ALIPOTAFUTWA NA POLICE HAKUPATIKANA KWA SABABU
YA MAJINA ALOSAFIRIA KUTOKUWA NA UHAKIKA NA VILE VILE HAIKUJULIKANA
ALIKOFIKIA WAKATI ALIPOKUJA LONDON '.....
NA TANGU SIKU YA
TUKIO UCHUNGUZI
UNAENDELEA NA SASA YUPO WANTED IN UK' JE TANZANIA MNALAKUSEMA KUHUSU
HUYU MBAKAJI '?....
NAJUA WENGI
WANAMTETEA KWA PALE HAWAJUI UKWELI WA TUKIO
HILI NA MPAKA WATAKAPO INGIA MILANGO YA MAHAKAMA NDIYO WATAKAPOJUA NI
NINI HASA WANATETEA '....
IKIWA HUNA
LAKUSEMA BORA UNYAMAZE NA KUSOMA
KIMNYAA" ASANTENI KWA WALE MNAOPINGA UBAKAJI NA UONEAJI WA KINA MAMA
ULIMWENGUNI NA HASA TANZANIA AMBAPO WENGI HAWAJUI NINI MAANA YA
UBAKAJI....

Post a Comment