Header Ads

MCHEKI MBONGO WA PILI KUINGIA BIG BROTHER

i
Inasemekana kuwa Fezza Kessy  atakuwa mmoja kati ya wawakilishi wa Tanzania kwenye jumba la big brother Afrika,atakuwa mshiriki wa pili kutoka Tanzania kwa hiyo tutakuwa na wawakilishi wawili ambao ni Nando na Fezza.

No comments