Header Ads

DALADALA YATUMBUKIA MTARONI.

Daladala moja inayofanya route zake za Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaan, imetumbukia mtaroni asubuhi ya leo maeneo ya Magomeni Mikumibaada ya kutaka kuovertake gari ndogo aina ya Noah na kusababisha kupoteza muelekeo na kuingia mtaroni lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyepoteza maisha wote wamejeruhiwahapo chini ni daladala hiyo pia askari akichukua maelezo kwa majeruhi:Picha kwa Hisani ya Mwanaharakati Blog
 wakazi wakiangalia ajali hiyo.
 Polisi wakizungumza na abiria na majeruhi.
 Askari wakilinda usalama

No comments