HAWA NDIO WASANII WALIOJINYAKULIA TUZO JANA USIKU
Kikundi bora cha taarabu – mshindi ni Jahazi Modern Taarabu
Mtunzi bora wa mashairi Taarabu – Thabit Abdul
Mtayarishaji wa wimbo bora wa mwaka (Taarabu) – N ricco
Msanii bora wa kike Taarabu – Isha Mashauzi
Msanii bora wa kiume Taarabu – Mzee Yusuph
Wimbo wenye vionjo vya asili – Mrisho mpoto, wimbo chocheeni
kuni
Mtunzi bora wa mashairi Bongofleva – Ben Paul
Mtayarishaji bora wa mwaka Bongofleva – Man Walter
Msanii bora wa kiume Bongofleva – Diamond
Msanii bora wa kike Bongofleva – Recho
Wimbo bora Bongopop – Ommy Dimpoz
Msanii bora anayechipukia – Ally Nipishe
Kikundi cha kizazi kipya cha mwaka Bongofleva - Jambo Squard
Mtayarishaji chipukizi wa mwaka –
Mensen Selekta
Wimbo bora wa Kiswahili bendi – Mashujaa band
Mtunzi bora wa mashairi bendi – Charles Baba
Mtayarishaji wimbo wa mwaka bendi – Amoroso
Msanii bora wa kike bendi – Luiza Mbutu
Msanii bora wa kiume bendi – Charles Baba
Rapa bora wa bendi – Fagason
Bendi bora ya mwaka – Mashujaa band
Wimbo bora zouk – Ni wewe - Amini
Wimbo bora wa rege – Worious
Wimbo bora wa raga/dancehall – Dabo
Msanii bora wa hip hop – Kala Jeremia
Mtunzi bora wa mashahiri – Kala Jeremia
Wimbo bora wa hip hop – Nasema Nao - Ney wa Mitego
Wimbo bora rnb – Subira - Rama dee
Wimbo bora wa afrika mashariki – Valuvalu - Jose Chamilione
Wimbo bora wa kushirikiana – Me&U,Ommy Dimpoz
Wimbo bora wa mwaka – Dear God - Kala Jeremia
Video bora ya mwaka – Baadaye(Ommy
Dimpoz)
Tuzo ya hall of fame kwa institutional – Kilimanjaro Band
Individual hall of fame - Salim Abdala Yazidu
Msanii bora wa kike – Lady Jay
Dee
Msanii bora wa kiume – Daimond

Post a Comment