KARIBU KUICHANGIA RADIO FURAHA FM ILI KUENEZA INJILI KWA WATU WOTE.......
Wadau wa radio Furaha FM Iringa wakichangia mchango wao ili kuiwezesha radio hiyo kuongeza masafa yake zaidi kutokana na wananchi wengi kuikubali kama radio bora ya dini mikoa ya kusini mwa Tanzania
Iwapo upo tayari kuichangia Radio Furaha FM Iringa ili kufanikisha injili kusonga mbele zaidi kwa watu wote tuma pesa yako kwa njia ya M-PESA 0755165148 TIGO PESA 0655096702
Post a Comment