UPDATES MWILI WA ALBERT MANGWEA HAUTAFIKA LEO KAMA ILIVYOPANGWA
Mwili wa ,arehemu Albert Mangwea hautofika leo tarehe 2.6.2013 kama ilivyopangwa hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.Kwa sasa tunasubiri taarifa kutoka kwa wenzetu waliopo nchini Afrika kusini mara watakapopata taarifa watawafahamisha,kamati ya mazishi inaomba radhi kwa usumbufu uliotokea. IMETOLEWA NA MWENYEKITI WA KAMATI KENETH MANGWEA

Post a Comment