Header Ads

AIBUU...HIVI NDIVYO MASHABIKI WA YANGA WALIVYO LIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KULIVUNJA VIOO


Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga. Katika
vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union  Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.


No comments