DAIMOND PLATNUMZ KUIPELEKA NUMBER 1 MALAYSIA
DIAMOND ameipa umaarufu style ya NGOLOLO katika wimbo wake mpya "My
number ONE" na kusisitiza kuwa atawarusha wakazi mashabiki wake wa
MALAYSIA Ijumaa ya tarehe20 mwezi huu.
WIMBO huo ambao ametumia pesamingi zaidi ili kukamilisha Video yake umeanza kuonyesha matunda kama hivi
KTK kurasa zake mitadaoni Diamond aandika na kuweka picha kuwa, "MALAYSIA
are you guys ready to Dance?... on this 20th of September 2013 the All
team of WCB is Gonna be there... Wanna see how you guys can do NGOLOLO. it's Gonna be HOT! Am tellin you..."""


Post a Comment