Header Ads

Kala Jeremiah Asain Mkataba Na Kampuni Ya Pepsi

Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kutoka Kili Music Award 2013 leo amekula mkataba wa miezi 6 kutoka kampuni ya PEPSI kama balozi wa soda hiyo. Kala amesema mkataba huo ameufurahia sana na amejisikia faraja sana. Sasa tutaanza kumuona kwenye ma

No comments