Nay Wa Mitego Ameingia Kwenye Kinyang"anyiro Cha Tuzo Mbili Nchini Kenya
Thnx kwa mashabiki na media zote zina nazo sapoti muziki wangu #966. Nimeingia katika tunzo nchini kenya katika category mbili wimbo bora wa mwaka East Africa ambao ni Muziki Gani category ya pili Msanii bora wa kiume Tanzania. #966 tuombe Mungu izi zote mbili tuchukue.. Siku ya tuzo ni tarehe 23 mwezi 11..!!

Post a Comment