Header Ads

Download New Audio | DJ CHOKA ft. Mrap, Dogo Janja, Pluto, Country Boy, Mis Rizzy & Young Dee – STINGA LI

5                                       Ule wimbo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa DJ CHOKA uliopewa jina la STINGA LI ndio huu sasa umekufikia, Dj Choka baada ya kutoa LATINO NATION sasa amekuja na wimbo mwingine wakufungia mwaka akiwa amewaweka vijana wachache wanaofanya mziki wa bongo fleva wenye maadhi ya Hip Hop. Pia katika wimbo huu ameweka vijana wawili ambao hawajasikika sehemu yoyote namzungumzia mwanadada anayeitwa MIS RIZZY pamoja na kijana anayeitwa PLUTO.
Wimbo umefanyika pale BHIT’Z STUDIO na Prod Pancho Latino pamoja na Mixing ya wimbo.

No comments