Chege yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma. Kwenye hiyovideo kuna watu kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi lakini kwa sasa enjoy kuangalia hizi picha
Post a Comment