Yaliyojiri Usiku Wa Jana kati ya Team Karabani vs Team Adam Juma Katika Viwanja Vya GYMKhana
Hii ilikuwa usiku huu pale GYMKhana kwenye mechi ya mpira wa kikapu kati ya timu mbili za waandaaji wa video hapa nchini, namzungumzia Adam Juma pamoja na Karabani. Mechi hii kali ilianza majira ya saa tano kasoro mpaka saa saa saba kasoro na mpaka mwisho timu ya Adam Juma ikaondoka mabingwa. Wasanii mbali mbali walikuwepo na wadau wengi wa mziki pamoja na wa mpira wa kikapu pia walikuwepo.
Madirector hawa wawili Adam Juma na Nisher wakutana uso kwa uso
Post a Comment