
Wimbo: TUULINDE
Watunzi: LAMECK DITTO, AMINI MWINYIMKUU
Watayarishaji: EMA THE BOY, TUDDY THOMAS
Studio: SURROUND SOUND
Wasifu wa Wimbo:
Wimbo huu maalumu wa Muungano umeimbwa na wasanii 50, kutoka katika mahadhi tofauti tofauti ya muziki kama Bongo Flava, Taarab, Dansi, Hiphop na muziki wa injili.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, wasanii 50 tofauti kuimba wimbo kwa pamoja, na kwa ushirikiano mkubwa, wasanii hawa wanatukumbusha umuhimu wa Muungano ambao ndio utanzania wetu.
Baadhi ya Wasanii waliohusika
Amini
Kadjanito
Mwasiti
Linah
Christina Shusho
Khadija Kopa
Frola Mbasha
Ommy Dimpoz
Diamond
Josse Mara
Kalala Jr
Ali Kiba
Peter Msechu
Mrisho Mpoto
Abdul Kiba
Mzee Yusuph
Angel
Mwana Fa
Nikki Wa pili
G Nako
God Zilla
Madee
Aslay
Shaa
Mandojo
Domokaya
Shilole
Wimbo ni mzuri
ReplyDeleteTUKO PAMOJA...!!
ReplyDeletepoa
ReplyDelete