Check video ya kwanza ya Young Killer akiwa kamshirikisha Barakah Da Prince.
Ingawa
maisha yanakua na historia ndefu sana na pengine kama ukiwa umefanikiwa
kwa kiasi fulani mtu wangu wa nguvu unaweza hata kushangaa ukicheki
ulipotokea,hapa kuna video ya Super Nyota wa 2012 Young Killer lakini
kwa kipindi hicho alikuwa anatumia jina la Lil K.
Kingine kwenye hii video ni msanii mwingine ambaye kwa sasa ni
miongoni mwa wasanii wanaotajwa sana kufanya makubwa sana kwenye muziki
wa Bongo Fleva,huyu nae anaitwa Barakah Da Prince lakini kwa kipindi
hicho alikua anatumia Dogo Baraka ni video iliyofanywa mwaka 2007.
Huu ni mwaka wa 14 tangu video hii waitoe kwa kuangalia video hii
umegundua nini kwa hawa jamaa wawili,andika comment ili baadae Young
Killer na Barakah Da Prince wakipita hapa wasome.
Bonyeza play kutazama.
Post a Comment