Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'.
Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo.
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.
STAA wa
Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amejinyakulia jumla ya tuzo
saba katika zoezi la utoaji tuzo za Kili usiku huu ndani ya Mlimani
City jijini Dar es Salaam!
jamani mmependeza xana ongera xana wema kwa vazi ulilo tupia kwan kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza safari hii daimond umetisha zaid ya xanz.
ReplyDelete