Picha:Show Ya Diamond { @diamondplatnumz} Na Wema { @wema_sepetu} Mtwara
May 2 2014 Mtwara ulikua usiku wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu kwenye show iliyoandaliwa na Vodacom Makonde beach usiku ambao ulipewa jina la heels and ties ambapo hizi ni baadhi ya picha tu, nyingine zinakuja.
Post a Comment