Header Ads

TUZO ZA KTMA 2014 KURUSHWA LIVE KWENYE Clouds TV

Ugawaji wa tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 utafanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 3 Usiku kwenye Ukumbi wa Mlimani City na kurushwa live kupitia CloudsTv

1 comment: