Header Ads

VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR ES SALAAM

Taarifa za tukio hilo zilithibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura ambaye leo atatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.
Viungo hivyo vilichukuliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi zaidi.
tembelea tovuti YA http://www.globalpublishers.info  kujua nini kinaendelea kuhusu sakata hili.

No comments