Behind The Scene | Ayaya Video Abdu Kiba Feat. Ruby
Kazi imeanza na nimeishuhudia mtu wangu,
unaweza kupata picha video hii ikitoka itakuwaje? cheki hizi pichaz
ambazo nimeona na wewe uzipate pia mapema kabisa mzigo ulivyokuwa
ukiandaliwa kwenye Beach kali Dar es Salaam.
Location yote kuanzia mchana mpaka usiku kwenye Beach ya White Sands Dar es Salaam, kazi ya video iko kwenye mikono salama kabisa ya Director Hanscana.
CREDITS TO: MILLARDAYO.COM
Post a Comment