Header Ads

Picha Mbali Mbali Za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Berry Black

 Mfalme kutoka Zanzibar Berry Black ambaye kwa sasa kazi zake nyingi anafanyia katika Studio za Mkubwa na Wanawe zilizoko Temeke, anatarajia kuachia Mkwaju wake Mpya ambao amewashirikisha kinadada 2 wenye uwezo wa kuzitumia sauti zao Digna kutoka JJ Band pamoja na Alice kutoka THT.

Video hii ya Berry Black imefanywa na Director Pablo na pengine baada ya sikukuu ya Idd kupita unaweza kuiona kwenye luninga yako.












CREDITS TO: HARAKATIZABONGO.COM

No comments