CHAMA wananchi CUF kimesema hakitoshirikia uchaguzi wa marudio Visiwani Zanzibar uliopangwa kufanyika tarehe 20 marchi ya mwaka huu.
mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa CUF,Twaha Taslma akizungumza na waandishi wa habari mda huu jijini Dar es Salaam,akisoma Tamko la CUF kuhusu marudio ya uchaguzi Zanzibar
CREDITS TO : MTEMBEZI.COM
Post a Comment