Header Ads

JOYCE KIRIA AUANZA MWAKA KWA STYLE HII NA MANENO YA UTATA

Mwanadada hot ambaye ni.mtangazaji wa kipindi cha wanawake live "joyce kiria" amepost picha jana akionyesha sehemu ya mapaja yake na kuandika maneno akijisifia kuwa yeye bado ni msichana mzuri wa mjini sio wa Rombo tena.
" 2016 Uzee nimeuacha Himo njia panda....No more charanga Am beautiful, Hot and sexy������ Good Evening "   aliandika Joyce Kiria Super Woman
   Una maoni gani na picha hii ya joyce 

No comments