Baada ya Rich Mavoko Kukana Kutoka Kimapenzi na Gigy Money, Gigy Aanika Chat zao
Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na
Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy
Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.
Gigy Money, alipost instagram chat hizo na kila moja kuiandika ujumbe wake. Hata hivyo baade alizifuta post hizo.
“Mimi mwenyewe sikujui vilevile” aliandika Gigy.
“Ahahhahaha unajua mavoko ntakudhalilishaaa ….mm ni mkimyaaa tu sio Mpole ata kidogo …unajikuta umenisahau bwege ww” aliandika Gigy.
“Banduguuuuuu kujichubua kwako ndio nkuogope weeee Richard wewe umeombaaa watu wanipigie nisikutie aibu sasa unaletaaa utoto sina nachokipoteza kumbukaaa I don’t care��������” aliandika Gigy
-BONGO5

Post a Comment