Header Ads

Download New Audio | ALIKIBA - LUPELA

Baada ya kimya cha muda mrefu, mkali wa Cheketua maarufu kama Alikiba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku ya Alhamisi ya tarehe 4.

Katika Mtandao wa Instagram, Alikiba ameandika “#Lupela dance at Hollywood studios#WildAid project#Lupela official release – Feb 4, 2016.#KingKiba“.

Kuwa pamoja nasi ili uweze kuwa wa kwanza kupata ngoma hii kali kutoka kwa Alikiba.

No comments