Mr Nice Adai Bado ana hela alizovuna kipindi cha nyuma katika muziki wake
Msanii mkongwe na mwanzilishi ya style ya TAKEU, Mr Nice amefunguka
kwa kusema kuwa bado yupo vizuri kiuchumi tofauti na watu wanavyodhani
kwamba amefilisika.

Picha ambayo alipost Mr Nice akionyesha ujenzi wa nyumba mpya
Akizungumza na Bongo5 Alhamisi hii, Mr Nice amesema kwa kuthibitisha hilo amejenga nyumba mpya kubwa nyumbani kwao ndani ya miezi mitatu.
“Watu hawajui kwamba walinipa pesa nyingi sana mpaka leo bado nazitumia, nyie mnaona kama zimeisha hazijaishi, hapa sasa hivi nawazima kidomo domo wale waliosema nimefilisika, sasa hivi najenga nyumba nyingine kijijini kwangu Moshi na ndani ya miezi mitatu nyumba kubwa imekamilika,” alisema Mr Nice.
Aliongeza, “Watu ambao umefilisika watafikiria kujenga sasa hivi?, hamuwaoni wasanii wenye stress za maisha, kwa hiyo hili ni jibu kwa wale waliyokuwa wanaongea sana,”

Post a Comment