Header Ads

PENZI JIPYA LA WEMA SEPETU NA MKONGO LAIBUKA...

PATAMU: motomoto hapa mjini ni kuhusu mkongo wa wema sepetu ajulikanae kama Apocalypse na Wema Sepetu, Wawili hawa inasemekana wako pamoja kimapenzi kiasi cha kupiga picha na video na kuziweka mitandaoni huko Instagram na Snapchat...
Tetesi hizi zinasema kwa sasa Idriss Sultan hana chake baada ya mimba kutoka, mkongo huyo inasemekana ana mavumba ya kutosha na alishawahi kutoka na mrembo Huddah Monroe wa Kenya.....
Toka habari za mimba kutoka Idriss Sultan ama Wema Sepetu hawajawahi kuweka picha zao kwenye page ya Instagram kama walivyokuwa wanafanya zamani kitu ambacho kinaongeza tetesi za kuachana kwao....Leo Idris amempost demu mwingine ambani ni rafiki yake kwa kile kinachoonyesha kama kupoza machungu ya Wema na Mkongo kupost ma video yao.....

No comments