Header Ads

Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Apewa Majukumu Mengine Umoja Wa Mataifa

Jakaya Kikwete
Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili ya January 31 Umoja wa mataifa wa Afrika wametangaza kumpatia majukumu mapya. Dk Jakaya Kikwete January 31 ameteuliwa kuwa mjumbe wa amani wa Libya.

Dk Kikwete ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mr Dileita Mohamed Dileita wa Djibouti ambaye alikuwa mjumbe wa nafasi hiyo toka mwaka 2014. Kikwete ameteuliwa kuwa msuluhishi wa kutafuta amani Libya ambapo toka auwawe aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddafi mwaka 2011, hali bado sio nzuri.

No comments