Video ya Ay Ft.Diamond Platnumz ‘Zigo’ yafungiwa.

Katika kufuatilia maudhui ya vyombo vya
utangazaji, mamlaka ya mawasiliano Tanzania [TCRA] imebaini kuwa miziki
ya video inayokiuka kanuni za utangazaji kwa kuonyesha picha
zisizozingatia maadili na ambazo zinachochea watoto kuiga maadili
mabaya.
Mfano wa nyimbo hizo ni pamoja na ‘Zigo’ ulioimbwa na Ay akimshirikisha Diamond. Video za miziki ya aina hii zinaudhalilisha utamaduni wetu na zinakinzana na kanuni za huduma za utangazaji [Maudhui] 2005].

Toa maoni yako..
Post a Comment