Hii Imekaaje Kwa Kijana Wetu Diamond platnumz...Atua Ujerumani na Timu Kubwa Kutoka Tanzania
Katika kile kinacho itwa From Tandale to world tour,Diamond leo ametua Ujerumani kwaajili ya kukinukishaaa!
Lakini kilicho nishangaza ni kundi kubwa la watu alio nao,Sina kinyongo
nao sababu wote nilio waona wanaumuhimu wake kwa huko aliko enda lakini
najiuliza malipo ya show yake Moja yatakuwa yanamlipa sana hadi anweza
kufanya hivi
Nimeona yupo na Mama ake its gud kwa shida walizo pitia na mama ake sasa
niwakati wao wakula mema ya dunia amefanya kitu kizuri sana,Mwingine
nimemuona Mke wake na mwanae nayo haina tatizo ni kizuri kwa mapenzi
alio nayo kwa mke wake na mwanae,Nimemuona Rommy Jons naye hana shida
ndo official Dj apart from kuwa na undugu na Diamond,
Nimeona Babu tale na Sallaam wote ni Mamanager wake its gud
nayo,Nimewaona Madancer wake wanne yaah nao ni muhimu ukizingatia kuwa
wanapiga sana kazi,nimeona Maphotographer wake akiwemo Kifesi ya
nimuhimu kwa picha na Video kwa mashabiki
Sasa swali langu ni kuwa hivi hizi show Diamond zinamlipa sana hadi
kufikia kuwa na watu wengi hivyo ambao anawagharamia kuanzia ticket za
ndege Go and return ambapo kwenda nauli inaweza kuwa zaidi ya 2M kwa
kichwa kimoja,atawagharamia malazi na chakula,Kuna wanao tegemea kulipwa
hapo kama madancer,Dj,na Maphotographer,bado kuna zile bata ndogo ndogo
na watakaa si chini ya Siku mbili!
Inaonekana Diamond hizi show Zina mlipa sana kwa hili la leo alilo
tuonesha ni salamu tosha kwa Wasanii wengine kuwa Mziki unalipa na
waache kulemba kwenye Game,kumbuka apo atagharamia mavazi ya kwenye show
daaaa Diamond tunyooosheee
Zaidi ya watu kumi kweli Diamond kiboko Tunyooshe
Post a Comment