"Nipo Tayari Kucheza Picha za Ngon0 Kama Ntapewa Pesa Ndefu" - Gigy Money
Video
Queen na msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka
wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngon0 endapo atapata mshiko wa
maana.
Akistorisha
na gazeti hili wikiendi iliyopita, Gigy alisema kwa kuwa anatafuta
fedha ya kubadili maisha yake, anaweza kufanya tendo hilo kwa sababu
anahitaji kuishi kitajiri zaidi.
Aliendelea
kusema kuwa amewahi kufuatwa na watu mbalimbali kutoka Dubai wakimtaka
kwenda kucheza filamu hizo, lakini alikataa kutokana na fedha
walizomtajia kuwa ni kidogo na hakuwa tayari kwa muda huo.
“Yaani
nikiambiwa napewa mamilioni nicheze picha hizo nipo tayari maana hapa
duniani wanaokula starehe zaidi ni wale wenye fedha sasa nikipewa
mamilioni ili nibadili maisha yangu, niko tayari maana nitabadili maisha
yangu na nitaishi kitajiri hapo mpaka watu waje kunishtukia nitakuwa
nimeshakula bata vya kutosha,” alisema Gigy.
Gigy Money ni miongoni mwa ma-video Queen chipukizi wanaofanya vizuri katika video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya.

Post a Comment