Davido Kataja Kiasi cha Pesa Alicholipwa na Pepsi kuwa Balozi Wao
Kwa mujibu wa Snapchat ya Davido, jamaa kalipwa pesa za Nigeria Naira milioni 100 kuwa balozi wa Pepsi. pia Davido anasema amepanga kuwa nunulia wasanii wote wa lebel yake magari mapya.
Kiasi hichi ni kama 1,099,061,759.4 za Tanzania.
Post a Comment