Fally Ipupa na Ferregola pia wamepata taarifa za kifo cha Papa Wemba
Papa Wemba amefariki baada ya kuanguka jukwaani huko Abidjan Ivory Coast akiwa anatumbuiza kwenye tamasha ambalo lilikua linaonyeshwa LIVE kwenye TV, kutazama video ya tukio lenyewe tazama post zangu za nyuma.
-MillardAyo
Post a Comment