PICHAZ 17: Kutoka Katika Fainali Za Kumtafuta Miss Dar City Center 2016
Usiku wa May 21 2016 fainali ya kumtafuta mrembo wa Miss Dar City Center kwa mwaka 2016 zilifanyika katika ukumbi wa Millenium Tower Kijitonyama, huenda wewe ukawa ni moja kati ya watu waliopenda kuhudhuria event hiyo ila kutokana na muda haukufanikiwa kuhudhuria. Kama uliikosa hivyo mtu wangu kuna pichaz 17 nimekusogezea.
Post a Comment