Header Ads

RC Makonda: Polisi Mkiwakamata Wahalifu Wapigeni Bila Huruma, Watakaohoji Waje Kwangu

post-feature-image

Jana Mh. Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na polisi yeye ndio atajibu.
Je, Sheria inasemaje kwa mhalifu nini umuhimu wa mahakama na vyombo vya kisheria nchini ?

No comments