Header Ads

Jinsi Ya Kuifanya Computer Yako Iwe Faster..!

Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow.Chache kati ya nyingi ni.
                                 1. Udogo wa RAM
                      2. Udogo wa Processor
                      3. Ku-run program nying kwa pamoja
                      4. Ku-install program nyingi kwenye PC
                      5. Temporary files

JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.

1. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika
      %temp% then bonyeza ENTER
      Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then             Bonyeza delete (del)

2. Bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp 
      then bonyeza ENTER

3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click 
      then chagua properties, then disk cleanup then iache 
      icalculate. kitafunguka ki-page kidogo weka tick upande wa 
      kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to 
      delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then 
      funga.

4. Nenda kweny my computer then properties then advanced 
     setting then advanced then setting (ya kwanza) then Advanced 
     then change then utaona tick hapo kwenye automatically..... 
     Toa hiyo tick then shuka chini kwenye custom then kwenye 
     initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB 
     ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) 
     jibu utakalopata jaza hapo.
     Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe 
     mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM 
     yako itumike yote) Then bonyeza SET Then  bonyeza apply 
     then 
    ok. Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka 
     tena.[kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my 
     computer then properties then angalia sehem wameandika 
     RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]

5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall 
      program ambazo hazina kazi.

 Baadhi picha utakazo ziona ktk process

<kwa tricks mbalimbali za computer tembelea>

Pia unaweza kujipatia Kitabu kizuri kabisa  cha computer "Introduction to Information Technology and Systems" 
  (By Kubalyenda, S & Njovu, S)

E-mail: sirkubalyendas@gmail.com
Phone: +255689-606070

No comments