Header Ads

Diamond Aonyesha Jeuri Ya Pesa, Awanunulia Watoto wa Zari Nyumba South Africa..Adai Walikuwa Wanaishi Nyumba ya Kupanga..!

Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwa

No comments