Saida Karoli Atoa Pongezi Kwa Diamond Platnumz ( @diamondplatnumz)..!

Ngoma hiyo ambayo ina matoleo mawili tofauti moja likiwa na mahadhi ya kiasili na lingine likiwa na midundo ya kukata na shoka ya kuchezeka klabu. Ikienda kwa jina la “Salome” ngoma hiyo imetungwa na mkali Diamond Platnumz pamoja na Rayvanny kutoka kwenye nyimbo halisi “Maria Salome” iliyoimbwa na mwana dada Saida Karoli.
Saida Karoli mwenyewe amewakibali Wasafi kwa hii..!
Post a Comment