Davido Achekelea Nyimbo yake Kutumika Katika Movie Huko Marekani
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya
kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko
Hollywood Marekani iitwayo QUeen of Katwe
Katika movie hii pia yupo mkenya aliyeweka historia ya kushinda tuzo ya oscar mwanadada Lupita Nyongo aliyecheza kama mhusika mkuu akishirikiana na David Oyellowo
Katika movie hii pia yupo mkenya aliyeweka historia ya kushinda tuzo ya oscar mwanadada Lupita Nyongo aliyecheza kama mhusika mkuu akishirikiana na David Oyellowo

Post a Comment