Wimbo Mpya wa Ruby Kijembe kwa Mawingu na Ruge? Usikilize Hapa
Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa
katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa
kaimba poa sana wimbo unamelody kali sana yaani zile zinaitwaga "Catch
Melodies".
Lakini maudhui ya wimbo ukiyasikiliza vizuri naona kama katupa jiwe kwa Clouds na Bwana Mutahaba. Embu Fanya Kuusikiliza Hapa....Siku hizi Mwendo wakutupa mawe Gizani tuuuuu
Lakini maudhui ya wimbo ukiyasikiliza vizuri naona kama katupa jiwe kwa Clouds na Bwana Mutahaba. Embu Fanya Kuusikiliza Hapa....Siku hizi Mwendo wakutupa mawe Gizani tuuuuu

Post a Comment