Mwigizaji Lulu Aanza Harakati Za Kutafuta Mtoto, Soma Kisa Kizima Hapa..!

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.
Post a Comment