Video : Maandalizi Ya Jukwaa La Chris Brown Mombasa Rocks Festival….!
October 8, 2016 historia ya burudani itaandikwa katika viwanja vya Golf Club ambapo mkali wa Rnb kutoka Marekani, Chris Brown atatoa burudani ya nguvu kwa wadau mbalimbali wa muziki huku akisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Navio, Vanessa Mdee na wengineo.
Itazame hii video hapa ujionee maandalizi ya jukwaa hilo :-

Post a Comment