EXCLUSIVE: Ushauri wa Huddah kwa Alikiba na Diamond ‘ni umama’
Huddah ambae ni Mrembo kutoka Kenya aliepata umaarufu wake kupitia
shindano la Big Brother Africa, ni shabiki mkubwa wa Bongofleva na
amekua akifatilia vitu vingi vinavyoendelea kwenye muziki huu ambao ni
mkubwa pia nchini Kenya.
Baada ya kusikia kuhusu beef inayoendelea, Huddah kama shabiki mwingine yeyote ametoa ushauri wake na alianza kwa kusema “napenda muziki wa Bongofleva, Wakenya wanapenda sana Alikiba… mimi napenda muziki wa Alikiba lakini hata Diamond sidhani kama ni mbaya, mziki wake ni mzuri na ni Mfanyabiashara”
UNATAKA KUJUA NINI ZAIDI HUDDAH AMEONGEA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Post a Comment