Header Ads

Diamond Aingia Kwenye List Ya Wasanii Matajiri Zaidi Barani Africa...!


Msanii kutokea nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido aliyetamba na ngoma yake ya “Fall” iliyofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla,


Davido ndio msanii mwenye mashabiki wengi kwenye mtandao wa instagram (Milioni 5) katika Bara la Afrika. Davido Nafasi ya pili inafuatiwa na msanii kutokea Nigeria pia


Diamond Platnumz ambaye anashika nafasi ya tatu kama msanii mwenye mashabiki millioni 4 kwenye kurasa yake ya instagram katika Bara la Afrika, huku


Don Jazzy wa Nigeria akiwa nafasi ya 4 kutokea Nigeria kwa kuwa na masabiki million 3.4 na


Peter wa PSquare kutokea Nigeria mwenye mashabiki million 3. Diamond Platnumz Don Jazzy Peter wa PSquare.






No comments