Header Ads

Hallelujah Ya Diamond Na Morgan Heritage Imeendelea Kukimbiza Nchini Uingereza...!



Baada ya Diamond platnumz kuachia ngoma yake ya Hallelujah aliowashirikisha kundi la Morgan Heritage kutokea Jamaica kufanya vizuri na kuvunja rekodi ndani ya saa 15 kupata views millioni 1.

Wimbo huo umeonekana kufanya vizuri katika kituo cha BBC Radio 1Xtra nchini Uingereza baada ya kushika namba moja katika top 5 katika kipindi cha Afro Boss cha radio hiyo kwa kuzishinda ngoma nyingine kama ‘Inde’ ya Heavy K, ‘Maradona’ ya Niniola, ‘My Baby’ ya Magnom na ‘Nhema’ ya EXQ.

No comments