Nahreel Wa NavyKenzo Ampachika Mimba Mpenzi Wake Aika..!
Navy Kenzo wamekuwa wakijiwekea malengo mengi tangu walipojitangaza ya kwamba wao ni wapo katika uhusiano wa kimapenzi. Mpaka sasa wameachia ngoma zilizobamba Tanzania Kama Kamatia chini, Feeling good Na bajaj.
Wawili hawa wamechafua hali ya hewa nchini Tanzania baada ya kutoa habari ya kwamba wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza.
Wawili hawa wameamua kuepuka mambo ya media ili kuweka mahusiano yao ya binafsi katika usalama.

Post a Comment